Kaharibuje??? Tuambie.Usiandike maneno mengi sijasema namiliki uzi mkuu wote ni familia moja na nawapenda wote na mimi sio MUNGU .....mtu anaharibu namweleweaha na akijerekebisha maisha yanasonga
Mwambie basi ajitetee
.........
Umekomalia hilo neno tuKwa Hiyo akiwa mbishi ndio aitwe kifaru??? Aghhhhrrr....busara wapi???
Hilo ndo swali la msingi siyo majibizano ungeuliza mapema ningekujibu vizuri ilaKaharibuje??? Tuambie.
Limenikera....umezingaUmekomalia hilo neno tu
.............
Haata usipoeleza ila nshakwambia..acha kuita watu majina ya ajabu....full stopHilo ndo swali la msingi siyo majibizano ungeuliza mapema ningekujibu vizuri ila
..........
Nimesema ukifaru sijamwita KIFARU karudie upyaKwa Hiyo akiwa mbishi ndio aitwe kifaru??? Aghhhhrrr....busara wapi???
Njema bablai, niaje ?Habari ya wakati huu Makapuku wenzangu.
Unakula nini bablai?karibu tule makapuku wote
Hamia halotelNakuwa mzito kuchangia sababu ya kulazimishwa na mtandao
Bilioni tatu labda ya Zimbabwe
Le akili ndogoz akiwa kwenye msiba wa mama yake
Msiba umemgharimu billion 3
..........
Huyo waziri wa Elimu tumuitaje maana hata kule kwa failures kawafunika
Inabidi wapewe semina... Maaana unaweza kuta mtu maarufu mjuaji alafu hajui maaana Yake...Ila wakuu mnajua maana ya ChitChat
Mkuu naheshimu PM na huwa sisemi ninachoambiwa wala kumtaja anayeniambiaWengine tuna midevu ila tunajichanganya kuondoa stress hvyo Tuheshimiane kwa kila mmoja wetu mambo ya pm na malalamiko ya pm malizianeni pm haina maana ya kudhalilishana wakati tu Familia moja
AMANI ITAWALE
SOTE TU WAMOJA
Ndio hapo kumbe malalamiko yapo pm....mnatuletea hapa......daahWengine tuna midevu ila tunajichanganya kuondoa stress hvyo Tuheshimiane kwa kila mmoja wetu mambo ya pm na malalamiko ya pm malizianeni pm haina maana ya kudhalilishana wakati tu Familia moja
AMANI ITAWALE
SOTE TU WAMOJA
Yapo rundo na NIMESEMA KUNA MALALAMIKO PM sijasema wanalalamika niniNdio hapo kumbe malalamiko yapo pm....mnatuletea hapa......daah
Mkuu siku zote mahali penye watu wengi panakuwa na mengi pia,Hizi ni joke tuu kumbe watu wanaelewa vibaya??? Dah
Yaishie huko huko....ukiyaleta humu utaleta mgongano....na ugomvi....Yapo rundo na NIMESEMA KUNA MALALAMIKO PM sijasema wanalalamika nini
............
Mkuu tunaongelea thread siyo Jukwaa la Chit Chat km ndo hivyo kajaribu thread ya Happy birthday halafu kapost habari ya CCM sababu ni Chit chatNdio hapo kumbe malalamiko yapo pm....mnatuletea hapa......daah
Nlikuuliza hukuona uddnt read btn lines...Hilo ndo swali la msingi siyo majibizano ungeuliza mapema ningekujibu vizuri ila
..........