Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Wala sintamruhusu arudi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usirud hom Leo uishie huko huko
Wala sintamruhusu arudi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usirud hom Leo uishie huko huko
Hata dhahabu hupatikana ndani ya miamba nawe pambana waweza beba Hii mutu but mimi sipooo namtambua amauzing kwa sasaAah we.... Mi ndugu yako tokea lini? Hicho unachotaka kuninyima ushindwe
Asante kwa ufafanuzi....KIFARU means mtu kiherehere,kimbelembele ,mpenda sifa,mshamba,asiyejielewa,mbumbumbu,mpenda kick,mpuuzi,asiye na swaga,mzushi,msumbufu n.k
Nimetoa tafsiri coz naulizwaulizwa PM
.....................................
Anadanganya huyoWe ndugu zako wote nawafaham
Huyo katokea upande upi
Taratiibu Shem langu, nawe ulitelekeza ndoa ukaenda kuzurura ona sasa wenzio watolea mijichoNachafua hali ya hewa
Shemejiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
My dear nilikuwa huku nje nakutafutia gym trainer ndo nikawa nasalimia salimia watu tu...Japo tulikuwa tumelala wote ila ninahisi kukumiss ghafla...Umenipiga baridi ya hatari sana..Mhhhhh
Kumbeeeeeee![]()
![]()
![]()
![]()
Roho imekuuma![]()
Mchekea
.........
Iam Humbled you knowAhsante kwa magazeti
Tunahitaji vichwa vitundu v yenye utundu km wako sio km kifaru
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Anza mazoezi ya kunitambua mana hakuna namna sasaHata dhahabu hupatikana ndani ya miamba nawe pambana waweza beba Hii mutu but mimi sipooo namtambua amauzing kwa sasa
Sio siri kifaru ni janga kinaharibu threadAsante kwa ufafanuzi....
Naomba nitumie samaki basi toka mabibo beach
Shem unakurupuka bhana heeeeValentina huu moto unawaka na wewe unamwagia petrol tena badala ya maji? Wewe nilishasema ni dada angu wa baba mkubwa na iwe hivyo sasa sawa mtoto wa baba mkubwa...Wala sintamruhusu arudi
Usimwamshe alielalaTaratiibu Shem langu, nawe ulitelekeza ndoa ukaenda kuzurura ona sasa wenzio watolea mijicho
Cc valentina
Hakikisha unawatuma leo leoSio siri kifaru ni janga kinaharibu thread
Zamani wapo usijali
............
Ewaaa! Hayo ndio maneno sasa