leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,405
- 1,815
kumekucha huku
Kwelikumekucha huku
Valentina upoKaka mpendwa
Good morning to youGud morning Guyz..
Fanya kunikamatia manuuNinakumisss ujue!!!
Nipo mwaya,mambo zakoValentina upo
Mambo yangu yako poa kabisaNipo mwaya,mambo zako
Ahaaa hilo tu! Umepata namleta kabisaaFanya kunikamatia manuu
Huyo ni mwanamuzik Wa huko marekani bwana sio Mimi....tatizo hufatiliii...muzikiHahahaaaa naona umeamua kuonyesha mgogo baada ya sura kuletwa hapa. Poa mkuu, linamo hajambo?
Morning mkuu bado mimi nausingizi ama kuna makosa ya kiuandishi kwenye hiyo sentensi yako...Dat ni wapi huko tena?Naanza safari kutoka Igunga to Dat
Wee iringa ulirudi liniNaanza safari kutoka Igunga to Dat
Sorry ni DarMorning mkuu bado mimi nausingizi ama kuna makosa ya kiuandishi kwenye hiyo sentensi yako...Dat ni wapi huko tena?