Makapuku Forum

Cristabela akusalimu
 
Si tulitangaza agano la amani jana? Au unataka nianze?
Unajua wewe u mzuri sana, japo linamo akuzidi kwa mbali, pia tumefanya mengi na wew, so tunazo kumbukumbu za Hisia nzuri na mbaya.
Unajua vyema, ukarimu, ufundi, care yangu,najua hutanisahau kwa haraka Lakini nitafurahi ukiiheshimu ndoa yangu, na ukubali kuwa sio wangu tenant.
Nilikupendaga hakuna mfano...byeeee
 
Hhahahhahah Shemeji nikisikia hilo jina nakumbuka nyimbo 2 tu...wakwanza ni ule ''Nakulaaa kwa macho'' na wa pili ''Kamataaa chini kamatia chiniiii'' hahahahah cheka mbya sana kabisa nikikukumbuka..
Hahahaaaa waambie Mimi ni simba mwendapole, mawindo hakosi, wakivunga wengine wanisubiri kwa hamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…