Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Naukumbuka my kakaDada angu unakumbuka kuna wimbo mmoja wa dini unasema...Huyo ni chaguooo lako...Sorry sauti yangu mbaya sana...
Naukumbuka my kakaDada angu unakumbuka kuna wimbo mmoja wa dini unasema...Huyo ni chaguooo lako...Sorry sauti yangu mbaya sana...
Unaimba sauti ya nane shemeji? Maana hiyo tune imetishaaDada angu unakumbuka kuna wimbo mmoja wa dini unasema...Huyo ni chaguooo lako...Sorry sauti yangu mbaya sana...
Ah!!! Mtaani kutatulia sana wiki hiiMtasubiri sana anguko la wa kimataifaaaaaaaaaaaaa
Nyie endeleeni kuhangaika na coaster za PERAMIHO

Nashukuru sana Alhamis nilikuwa kwenye send-off moja japo nilikuwa High kimtindo lakini nilipata fursa ya kuufuatilia wimbo ule kwa kina na niligundua una ujumbe mzuri mno...Kwa wale wanaoanza uchumba...So please take your time sikiliza wimbo ule utakufanya uzidi kumpenda Shemeji yangu jambiloNaukumbuka my kaka
Ni chaguo languNashukuru sana Alhamis nilikuwa kwenye send-off moja japo nilikuwa High kimtindo lakini nilipata fursa ya kuufuatilia wimbo ule kwa kina na niligundua una ujumbe mzuri mno...Kwa wale wanaoanza uchumba...So please take your time sikiliza wimbo ule utakufanya uzidi kumpenda Shemeji yangu jambilo
Hahahah Shemeji hivi ulishaona umekosea kitu na kabla hujachekwa na watu wewe mwenyewe unaanza kujicheka...Ndiyo imekuwa hivyo yaani sauti hamnaga kabisa...Unaimba sauti ya nane shemeji? Maana hiyo tune imetishaa
Fine mamii, polye wa kimataifaaaa!!!Morning mutu ya Congo
Habari ya asubuhi?
Oui PapaaWerrason
Basi usikubali umchoke...Ukiona anaangalia angalia kushoto na kulia hakikisha hatoona image ingine yeyote isipokuwa wewe tu dada angu...Na huwa nakaa nasema asnate nyingi kwa Muumba kwa jinsi alivyotumia mda wake kukufinyanga na kukufanya mrembo sana dada angu...Ni chaguo langu
Morning LinamoMornie werrason
I told you before... Mimi nilimgawa buree baada ya kuona hafai hata kuungia mchuzii..Kaka huyo anajitoa ufahamu halafu nataka nimpe talaka maana anaonekana hajatulia hata kidogo macho kayaweka juu juu Kama tai.
Shemeji mimi naamini sauti ipo japo kama ya Hadija Kopa...Hahahah Shemeji hivi ulishaona umekosea kitu na kabla hujachekwa na watu wewe mwenyewe unaanza kujicheka...Ndiyo imekuwa hivyo yaani sauti hamnaga kabisa...
Shem wacha niwe mkweli niwe mpenzi wa Mungu..sinaga sauti ya kuimba kabisa kila nikiimba naaishiaga kukooa kooa tu kama narekebisha sauti na haiji..Wimbo tu niliouimba na watu wakanisifia ni wimbo wa Taifa..BhaaaasShemeji mimi naamini sauti ipo japo kama ya Hadija Kopa...
The man is very conservative... Labda azaliwe upya shemeji, kama hakubadilika wakati akiwa mtumishi itawezekanaje kipindi hiki akiwa muumini wa Kawaida? Nampa polee Linamo
Habari ni poa mbya sana kabisa mkuu..adje ?Habariniz makapukuz wenzanguz..
Ha ha ha ha ha ha haaa... Asante kwa kuitengeneza siku yangu shemeji... Nimecheka kwa nguvu SanaShem wacha niwe mkweli niwe mpenzi wa Mungu..sinaga sauti ya kuimba kabisa kila nikiimba naaishiaga kukooa kooa tu kama narekebisha sauti na haiji..Wimbo tu niliouimba na watu wakanisifia ni wimbo wa Taifa..Bhaaaas
Poa sana kapukuz.. Umepotea sanaaaHabariniz makapukuz wenzanguz..