manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Lakini nadhani ana-potential fulani ndiyo maana hata wewe Shemeji ulikubali akakuoa ila baadae ukajaona ulichokiona japo nakumbuka alisema wewe ndiyo chanzo cha mtafaruku wenu..hahahah..So na dada angu Linamo bado anaendelea kuona ile potential ya pastor mpaka pale atakavyoona vingenevyo..The man is very conservative... Labda azaliwe upya shemeji, kama hakubadilika wakati akiwa mtumishi itawezekanaje kipindi hiki akiwa muumini wa Kawaida? Nampa polee Linamo
kaka
