Ni kwel kabisa kk, bora ufanye mazoez by natural tuKabisa kabisa ila wengi wanaotumia madawa huwa na mwisho mbaya sana..
Natambua hilo... Na wewe sio wangu tena, you are now mtumba,... aka used.. aka mabaki... aka masalia.. aka makombo ambayo for now ndo Linamo anayahusudu... Am now with mkaka mzuri... Mwanaume wa ukweli, anayeufanya moyo wangu kila time uende mbioooo... sumbaiUnajua wewe u mzuri sana, japo linamo akuzidi kwa mbali, pia tumefanya mengi na wew, so tunazo kumbukumbu za Hisia nzuri na mbaya.
Unajua vyema, ukarimu, ufundi, care yangu,najua hutanisahau kwa haraka Lakini nitafurahi ukiiheshimu ndoa yangu, na ukubali kuwa sio wangu tenant.
Nilikupendaga hakuna mfano...byeeee![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa namna isiyoelezeka....Hebu tuache uongo, xxx unamfurahia Sumbai Kweli!!!
Nilitulia tulii... Kaanza kinichokonoa kuwa nina kumbukumbu ya nini... Joto la sumbai tu ndo nalikumbuka shemeji yangu... Ya kwake kwa sasa ni skrepa... Nishayatupa jalalani kitambo SanaHahahhahaha Shemeji hii ni vita sasa na jinsi sisi tulivyoumbiwa wivu...
Hata Ukiwa na wife usipovuta image yangu Mashine inarudi tumboni.. si eti??Wet kiss, mziki wako ulee, macho yenye mvuto,daaa ni mengii but imebaki story
Shemeji wacha niwe na akiba ya maneno kwa sasa maana wanasema mtu na Mume wake wakigombana wewe pita kimya kimya tu...Nilitulia tulii... Kaanza kinichokonoa kuwa nina kumbukumbu ya nini... Joto la sumbai tu ndo nalikumbuka shemeji yangu... Ya kwake kwa sasa ni skrepa... Nishayatupa jalalani kitambo Sana
Huyu ndo mkaka mzuriii????Natambua hilo... Na wewe sio wangu tena, you are now mtumba,... aka used.. aka mabaki... aka masalia.. aka makombo ambayo for now ndo Linamo anayahusudu... Am now with mkaka mzuri... Mwanaume wa ukweli, anayeufanya moyo wangu kila time uende mbioooo... sumbai
Hivi ni wewe uliyekua unanishukuru hadi unalia baada ya mchezo?Nilitulia tulii... Kaanza kinichokonoa kuwa nina kumbukumbu ya nini... Joto la sumbai tu ndo nalikumbuka shemeji yangu... Ya kwake kwa sasa ni skrepa... Nishayatupa jalalani kitambo Sana

Hata Ukiwa na wife usipovuta image yangu Mashine inarudi tumboni.. si eti??

Hebu njoo pembeni tuyamalize linamo na wapambe wasituone kitanukaaaHata Ukiwa na wife usipovuta image yangu Mashine inarudi tumboni.. si eti??
X huyoShemeji wacha niwe na akiba ya maneno kwa sasa maana wanasema mtu na Mume wake wakigombana wewe pita kimya kimya tu...
N-Gitaa?nzeze?
Hahahahha hii vita inazidi shika kasi hapa...Huyu ndo mkaka mzuriii????View attachment 358306
Hahahahah Shem nakupenda bureeeee...Hata Ukiwa na wife usipovuta image yangu Mashine inarudi tumboni.. si eti??
Mwelekeo wa filamu utabadilika tuHahahahha hii vita inazidi shika kasi hapa...
hahaha...N-Gitaa?
Mkuu...Hebu njoo pembeni tuyamalize linamo na wapambe wasituone kitanukaaa
Manuu huyu x animissHata Ukiwa na wife usipovuta image yangu Mashine inarudi tumboni.. si eti??
Hahahahha hii vita inazidi shika kasi hapa...
Hahahahah Shem nakupenda bureeeee...