Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Si tulitangaza agano la amani jana? Au unataka nianze?Sizitaki mbichi hizi
Si tulitangaza agano la amani jana? Au unataka nianze?Sizitaki mbichi hizi
Cristabela akusalimuNashukuru sana Alhamis nilikuwa kwenye send-off moja japo nilikuwa High kimtindo lakini nilipata fursa ya kuufuatilia wimbo ule kwa kina na niligundua una ujumbe mzuri mno...Kwa wale wanaoanza uchumba...So please take your time sikiliza wimbo ule utakufanya uzidi kumpenda Shemeji yangu jambilo
X mamboNjema shemeji.. Warmly welcome
Safi sana...Ila ongeza hiyo Byceps kidooogo..
Poa XX mambo
Nashukuru ndugu..walinitwanga ban hawaKaribu ndugu..Gudmorning?

Hali ya hewa imechange Leo. Tuko poa kabisa na lizziebettie wangu.Mkuu ni baridi tu humu ndani....Habari ya kwako na shemeji yangu lizziebettie naamini hautakuwa unalia kilio cha baridi kali kama mimi..
Hhahahhahah Shemeji nikisikia hilo jina nakumbuka nyimbo 2 tu...wakwanza ni ule ''Nakulaaa kwa macho'' na wa pili ''Kamataaa chini kamatia chiniiii'' hahahahah cheka mbya sana kabisa nikikukumbuka..Cristabela akusalimu
Thanks alot. Niambie shemejiNjema shemeji.. Warmly welcome
Unajua wewe u mzuri sana, japo linamo akuzidi kwa mbali, pia tumefanya mengi na wew, so tunazo kumbukumbu za Hisia nzuri na mbaya.Si tulitangaza agano la amani jana? Au unataka nianze?

Babuu hii ni fulu balaa..tatizo hawa jamaa wanapiga ma-sup sana...duh hizo ma shoulder ni kichaa asee..mbona nakaribia kumfikia huyu![]()
Hii ndo ajira yao hao ma-body builder.Babuu hii ni fulu balaa..tatizo hawa jamaa wanapiga ma-sup sana...duh hizo ma shoulder ni kichaa asee..
Hahahahah Bila shaka utaonyesha nidhamu ya hali ya juu sasa...Nini ilikuwa mbaya mkuu?Nashukuru ndugu..walinitwanga ban hawa![]()
Hahahaaaa waambie Mimi ni simba mwendapole, mawindo hakosi, wakivunga wengine wanisubiri kwa hamuHhahahhahah Shemeji nikisikia hilo jina nakumbuka nyimbo 2 tu...wakwanza ni ule ''Nakulaaa kwa macho'' na wa pili ''Kamataaa chini kamatia chiniiii'' hahahahah cheka mbya sana kabisa nikikukumbuka..
Nashukuru kusikia mko poa wewe na shemeji yangu lizziebettie ..sisi tuko poa sana pia mkuu..
Daaah ni melts balaaa, jana alitishwa na xxx p3 etii anataka kukimbia ndoaDada angu huyo Shemeji ni shida ingine kabisa...u hve to handle with care..
KaribuuuHabariiiii humu ndani
Nafurahi kusikia hivyo kakaNashukuru kusikia mko poa wewe na shemeji yangu lizziebettie ..sisi tuko poa sana pia mkuu..
Asante nduguKaribuuu