Makapuku Forum

The man is very conservative... Labda azaliwe upya shemeji, kama hakubadilika wakati akiwa mtumishi itawezekanaje kipindi hiki akiwa muumini wa Kawaida? Nampa polee Linamo
Lakini nadhani ana-potential fulani ndiyo maana hata wewe Shemeji ulikubali akakuoa ila baadae ukajaona ulichokiona japo nakumbuka alisema wewe ndiyo chanzo cha mtafaruku wenu..hahahah..So na dada angu Linamo bado anaendelea kuona ile potential ya pastor mpaka pale atakavyoona vingenevyo..
 
Oooo huyu mtoto aliumbwa asubuhi, wakati muumba ananguvu zoteee, mtoto ni mkali balaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…