Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kaka huyo anajitoa ufahamu halafu nataka nimpe talaka maana anaonekana hajatulia hata kidogo macho kayaweka juu juu Kama tai.
Hahahahah Dada jambilo labda hujampa kiti akakaa kabisa na kuamini yeye ndiye mkalia kiti kwa sasa hviyo anajaribu kutafuta kiti atakacho kalia vizuri...Muaminishe tu kuwa ni yeye kwa sasa na husikii wala hutaambiwa na yeyote...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom