Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tumsubirie bas aje anijibu mwenyewe hapa
Utasubiri sana kajilaza kitandani tumeamua kuhama hotel
1466355209381.jpg
 
Hebu kuwa na huruma Basi na mke wangu mkuuuu...[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nisome hapo
Sumbai nimepata wazo mkuu, sisi ni wanaume hebu tukae kwa akili na hawa vimwana. Hebu turudishe mshikamano wetu wa awali ili wasitugonganishe, baki na mkeo nami nibaki na linamo bhana
 
Back
Top Bottom