Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Wapii wew viza huwezi pata mwonekano mgogoroNo babe bize collecting chapaaa....unajua nataka twende Miami safari hii??? Babe
Wapii wew viza huwezi pata mwonekano mgogoroNo babe bize collecting chapaaa....unajua nataka twende Miami safari hii??? Babe
We uko hanimoon akili unawza x wako tuu hahahaja nadhan linamo haifanyi kazi Yake au una walakini haajajjajjhahhhahahafhwuyeggsvehwttffgghjjjhhgssgsgegsgwwwwwwwwtttttt

Mh sumbai atakua ameteleza wap tena si alishamnyakua??Ohoooo, chezea jambilo wewe, unaona patience123 amerejea kwa kasiii japo cmtakiii
Sumbai hiloWapii wew viza huwezi pata mwonekano mgogoroView attachment 358096
Umekua mcharo braza, ni aina gan ya ulimbo unaoutumia?Ohoooo, chezea jambilo wewe, unaona patience123 amerejea kwa kasiii japo cmtakiii
Mh sumbai atakua ameteleza wap tena si alishamnyakua??
Mkuu shida Mimi nimepanda hewani, wembamba wenye mvuto plus swaga zangu hadi wanazimiaUmekua mcharo braza, ni aina gan ya ulimbo unaoutumia?
Hapo mtoto hawezi dumu
Hahahaha lakin huwa nashangaa sana huwa haudumu nao kwa muda mrefu, kulikoni?Mkuu shida Mimi nimepanda hewani, wembamba wenye mvuto plus swaga zangu hadi wanazimia
Ohooo sijawahi achwaa Mimi bali nilimtimua alikuwa anaingilia majukumu yanguHahahaha lakin huwa nashangaa sana huwa haudumu nao kwa muda mrefu, kulikoni?
Wivu wake kwani Mimi mtu wa watu akiona madem wakali wanataka huduma analeta fujo hadi nimeacha u pastor kwa ajili yakeHahahaha lakin huwa nashangaa sana huwa haudumu nao kwa muda mrefu, kulikoni?
C umeonaaaMhhhh
Cc sumbai
Sitaki kuwa onesided ngoja niskilize na upande wa patience123 kwanzaOhooo sijawahi achwaa Mimi bali nilimtimua alikuwa anaingilia majukumu yangu
Huyo mtoto mzuri pembeni yake ni nani?C umeonaaa
Kwa sasa hawezi ongea anagombana na linamo huku,Sitaki kuwa onesided ngoja niskilize na upande wa patience123 kwanza
Hahahaha aisee! Bas u pastor haukuwa wito wakoWivu wake kwani Mimi mtu wa watu akiona madem wakali wanataka huduma analeta fujo hadi nimeacha u pastor kwa ajili yake
Huyo mtoto mzuri pembeni yake ni nani?