Makapuku Forum

Makapuku Forum

ba5df7e18d706c13f859922d99231d81.jpg
 
We Jamaa umeoa juzi tuu kwa huruma ya linamo Leo unaanza kujisahau patience alikukataa kutokana na michepuko Leo unakakaa na mwanamke mqingine kweli dadakipenzi Linamo kala hasaraaaa.....
Hapana mkuu, mkeo kajileta huku hotelini anapiga kelele kuwa linamo anamwibia mine, Hii haikubaliki kabsaa
 
Mkuu sina ulinganifu, nataka amani ndoani mwangu, wote mnatambua nimeoa juzi hapa tuko honeymoon, si mniache nifurahiiii?
Umemuoa nani kwani? Linamo si bado anakupiga danadana na patience123 ndo huyoo keshatulizwa, ila mi nakukubali sana kwa jinsi ulivyo king'ang'anizi we endelea tu yupo takaye kukubalia kwa kuchoka kusumbuliwa
 
Mkuu sina ulinganifu, nataka amani ndoani mwangu, wote mnatambua nimeoa juzi hapa tuko honeymoon, si mniache nifurahiiii?
We uko hanimoon akili unawza x wako tuu hahahaja nadhan linamo haifanyi kazi Yake au una walakini haajajjajjhahhhahahafhwuyeggsvehwttffgghjjjhhgssgsgegsgwwwwwwwwtttttt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom