Kama unachat na ex inamaana hamjaachana.
Mimi ma-ex wengi salama haigombi......kuachana na mtu sio kisasi eti msiwasiliane nae huo ni ubwege tu......kwani mkisalimiana nae utakufa....pia inategemea nliachana kwa amani au kwa shari
Kama unachat na ex inamaana hamjaachana.
Umeona inakuwekea kiwingu bureHiimada nimeichangia tuu ila sio saizi yangu kwani Mimi sina X nawala sijawahi kuwanae kwahiyo nahisi nikiendelea kuzungumza vitu nisivyo vijua. Sinta vika ngoja niwe msomaji tuu.
Haya mambo ya kutoka na mtu mwenye mtoto yalinikuta, baby mother akiniona ananiambia uko nae lakini ujue nikimtaka ninapiga vidole viwili tu anakuja. Sasa ile weekend umeamua kupumzika na mpenzi, baby mother anapiga simu, anaanza mtoto anatemperature, of course mbele ya mtoto inabidi jamaa atoke aende, akiwa njiani anadrive bado hajafika baby mother anatext 'I told you, if I want him back is just a matter of snapping my two fingers, can you see yourself where you stand now, we are going to hospital as a family'. Mwisho wa siku nikamwambia jamaa basi, sikuwa tayari na vita.