manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Hongera sana dada na huwa nakuamini katika kufanya machagua sahihi nikuahidi kaka ako niko bega kwa bega na wewe lengo kubwa ni kukuona uko na furaha..Dada yako nimefall in love kwa Jambilo. Siambiwi wala sisikii nampenda Sana.
