Tutakusaidia kumpet pet paka utakapo rudiKwaherini kwa muda family
Cc mpenzi linamo
Kabisa mkuu..tufanye hivyo kama mda unavyosema hapo juu Shem...Shem tujoin wote?
Yeap!Pamoja sana!!!

Habari ya week end mkuumimi mzima kabisa
Mornie MussolinHope wote mko powa, gud morning kapukuz
Ameen

Wanasemaga ''Tikala malamu eeh Papaa..Mambo bien![]()
Safi kaka,Habarini za asubuhi watu wote upande huu..
HahahahahahaShule 4m 1 na 4m 4 huwa hawapatani kabisa ni sawa na wakongwe v makapuku .....hawapatani kwa jambo lolote na huwezi kuwapatanisha nakumbuka nikiwa 4m 1 ilikuwa ni bora tufungwe tukicheza mpira na 4m 2 au 3 lkn sio 4m 4 na pia mademu wa 4m 1 walikuwa makauzu kinoma kuwakubalia mabishoo wa 4m 4
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.. .........
My sisy nashukuru Mungu ni mwema sana ameniamsha nikiwa fit mbaya mno kabisa ni baridi tu inaleta changamoto..Nakumiss sana Dada angu..Safi kaka,
Habari ya wewe?
Inapendeza dada angu...Wahi twende my love![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning mwana harakati wetuHope wote mko powa, gud morning kapukuz
Dada yako nimefall in love kwa Jambilo. Siambiwi wala sisikii nampenda Sana.Inapendeza dada angu...
Morning morning kamanda..Hope wote mko powa, gud morning kapukuz
Miss you too my kakaMy sisy nashukuru Mungu ni mwema sana ameniamsha nikiwa fit mbaya mno kabisa ni baridi tu inaleta changamoto..Nakumiss sana Dada angu..
na mambo yatakuwa sawa kabisaHaya mahaba yameanza kwa speed kali sana, sasa angalieni isiwe yale mambo ya nguvu ya sodaWahi twende my love![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haya ni mahaba ya mwendokasi Kama ya wolper na HamornizeHaya mahaba yameanza kwa speed kali sana, sasa angalieni isiwe yale mambo ya nguvu ya soda
Nawatakia kila la heri
