sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mkuu mama mtumishi nlimpata akiwa free hakua na ndoa nae....nlishangaa mtumishi kwanini anaish bila ndoa..?? Nlipoleta hilo swala kanisani nkaundiwa zemgwe nkafukuzwaHahahahahah and then nathani ukaja pita na Mama Mtumish mazima ama hili hutaki kulizungumzia...
Nakanusha kwanza....mwenye kashfa ni weewe kwa heshima ya kanisa tukaamua kwa pamoja nitolewe kafara kukunusuru mtumishi....ila nadhan rangi yako halisi ikaja kuonekanaHansard iwekwe vizuri, Sumbai alikuwa shemasi but nilimfukuza kwa uzinz na walevi mtaani, mama mtumishi yeye alikuwa na wivu sana na akiona binti anakuja kwa huduma anachukia, ndo maana tulitengana, note ..tulitengana ndo fisi Sumbai kaokota
Sote humu mashahidi....kwann your ex alikimbia???
Point