Fake pastor katika ubora wakeHahahahahah... Ukistaajab ya magufuli utayaona ya jambilo...
Anandoa alafu anaoa tena...sijui anatufundisha nn sisi kondoo
Je nawe unao?Khanga haimtupi mtu
Japo wenye mikia huwatoa vizuri zaidi

Dah najaribu kufuta picha ya hilo kanisa lenu lilikuwaje maana ninyi wawili ndiyo mlikuwa viongozi wa kandoo na leo hii mmefikia hapa vipi hao waumini...Ama kanisa lenu ni lile watu wanaingia bila nguo kama ndiyo nisajili tafadhali hahahaHa hahah... Mimi sijaoa ila kama hakuta kuwa na pingamizi halali patience atakuwa mke...
Ila usisahau pasta anamke na chet cha ndoa ila anataka kuoa tena....
Cc jambilo
Ni shida kubwa na napata hata wasiwasi na hilo baraza la kanisa maana hii vita inahusisha mihili miwli yenye nguvu sana kanisani...Pastor ana mke wa ndoa lakini anaamua kuoa tena..Na muumini wake kaamua kuondoka na mke wa Pastor...Hii issue inabidi tuite Baraza.
Ha hahahahahahhh....Fake pastor katika ubora wake
cc: amaizing kwa hisani ya EMMYGUYDah najaribu kufuta picha ya hilo kanisa lenu lilikuwaje maana ninyi wawili ndiyo mlikuwa viongozi wa kandoo na leo hii mmefikia hapa vipi hao waumini...Ama kanisa lenu ni lile watu wanaingia bila nguo kama ndiyo nisajili tafadhali hahaha

Hahahahah nisajiliwe kuwa Camera man tu..
Chanzo ni mkuu Wa kanisa....ila haktakiwi kulailumu...Dah najaribu kufuta picha ya hilo kanisa lenu lilikuwaje maana ninyi wawili ndiyo mlikuwa viongozi wa kandoo na leo hii mmefikia hapa vipi hao waumini...Ama kanisa lenu ni lile watu wanaingia bila nguo kama ndiyo nisajili tafadhali hahaha
Nakubaliana na wewe mkuu na wewe fanya hima kutafuta kuwa na amani na mkuu wako wa kanisa..Chanzo ni mkuu Wa kanisa....ila haktakiwi kulailumu...
Fanyeni kama neno linavyosema muwaombee watumishi...
Dah najaribu kufuta picha ya hilo kanisa lenu lilikuwaje maana ninyi wawili ndiyo mlikuwa viongozi wa kandoo na leo hii mmefikia hapa vipi hao waumini...Ama kanisa lenu ni lile watu wanaingia bila nguo kama ndiyo nisajili tafadhali hahaha
Hahahah niwe Camera man tu niwe na kibali wakati waumini wanaanguka na kugaragara chini kwa upako mimi niwe nachukua picha kwa ajili ya kuweka kumbukumbu vizuri..Hahahaha.....unataka usajili???
Ajiombee mwenyewe tuChanzo ni mkuu Wa kanisa....ila haktakiwi kulailumu...
Fanyeni kama neno linavyosema muwaombee watumishi...
Hahahahahah....hakyanan sawa wewe unatofaut gan na pasta?? Anayetaka kuoatenaHahahah niwe Camera man tu niwe na kibali wakati waumini wanaanguka na kugaragara chini kwa upako mimi niwe nachukua picha kwa ajili ya kuweka kumbukumbu vizuri..
Hajitammbui atajiombeaje???Ajiombee mwenyewe tu