Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
AsanteKaribu
AsanteKaribu
Nafaham hilo Dadake, but wapo ambao hajui pa kufuatilia matokeo na pia hawana access ya kuangalia live, hao ndo wanafaidi moja kwa moja toka bitoz,....mzima lakini!!Hatusaidii ila anafanya hivyo kwa mapenzi yake kwetu (tofautisha kutoa msaada na kushow some love)
Hivyo ukitaka updates za mpira unajua wapi pa kuzipata na unajua kuwa mwenye hicho kitengo ni Bitoz hiyo ni katika kuufanya uzi huu uwe na ladha zaidi
Tumeshikamanaaa![]()
![]()
![]()
umenishiiiika
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Salama shululu.. Mzima???
Yeap!Kuna mtu alikuwa anasumbua hivyo nikashindwa kuconcetrate, ila naamini umepata kile ulichohitaji
Pamoja sana!!!
Poa mtu wangu wa nguvu, nambie Shem kipenzi yu hali ganiHabarini za asubuhi watu wote upande huu..
Pamoja sanamimi mzima kabisa
Shemeji nashukuru Mungu kwa siku hii ya leo kwani nipo fit mbaya kabisa...Wewe vp lakin Shem?Poa mtu wangu wa nguvu, nambie Shem kipenzi yu hali gani
Salama kaka. Umeamkaje?Habarini za asubuhi watu wote upande huu..
Mungu yu mwema sana kwangu nimeamka na tabasamu sana leo...Wewe dada angu u hali gani?Salama kaka. Umeamkaje?
Nimeshamutia kumumachoYupo