Pamoja sana kaka.Asante brother.
Ubarikiwe
Hauja update bado?App inasumbua inagoma....
.........
Eti ni kweli ulipatwa na maswaibu ya mpira wa leo??
Patience ananisifia lkn simtaki switie
Imekubali but itaweza kujirudia cpz hii Mara ya 3 kwa leo tuHauja update bado?
Hili li Emmy lichawi nini, lifuate mambo yake, umri ni namba tuuNamlea
MpenziiiPole umekunywa sana uji tatizo.weekend yote hii unalala sahizi??

Hawezi nilea, twaleana, japo mimi namlea zaidiLea tu maana hamna namna sasa
Tunakupa rushwa ili usitupeleke central.Mkizingua nakamata wote humu napeleka central police.
Umeniudhi, umejulia wapi umri wangu na mpenzi wangu, kijana mbaya sana, tena hufai kabisa, ntawaambia tcra wakuzime kabisaNi nzuri Mkuu. Sijui kwako!
Lala pt,...pt=pancha tanoMie nalala mkuu.
Usingizi umenizidi nguvu.
Ungelala wewe unayeudhi mpenzi wanguHakuna mbaya kaka, kesho nayo ni siku. Ulale salama.