Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ndio. Lile pia niAweke ya ile gari aliyokuwa ananizingulia mpaka nikaingia kingi

Ndio. Lile pia niAweke ya ile gari aliyokuwa ananizingulia mpaka nikaingia kingi

Leo huku kwetu kuna baridi ni balaa.Pole umekunywa sana uji tatizo.weekend yote hii unalala sahizi??
Kawafundishe....kwao kumejaa kanzu & kanikiHalafu hawajui kutupia pamba kijanja
Asante![]()
Mlale unono wakuu.
GoodUshauri umezingatiwa![]()
AsanteAsante
Nawe pia
Lea tu maana hamna namna sasaNamlea
Habari ya usiku?Mzima
Ni nzuri Mkuu. Sijui kwako!Habari zenu wakuu.
WatanishangaaKawafundishe....kwao kumejaa kanzu & kaniki
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Mie nalala mkuu.Ni nzuri Mkuu. Sijui kwako!
Hakuna mbaya kaka, kesho nayo ni siku. Ulale salama.Mie nalala mkuu.
Usingizi umenizidi nguvu.
Kama kawa braza.mia mia mkuu..tupo bhana tunacheki game za euro
Asante brother.Hakuna mbaya kaka, kesho nayo ni siku. Ulale salama.
Ni kweli kabisa.Mbona tuko juu mpaka sasa? Sema tujitahidi kuhakikisha wale wote![]()
wanatoka tunabaki wenyewe