ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Mlale unono wakuu.
Usingizi je?![]()
Mlale unono wakuu.
Leo usingizi umekuja mapema sana mkuu.Usingizi je?
Ushauri umezingatiwa[emoji85]Weka yako then, sio lazima uweke picha ya mtu weka hata ya kitu
Lala ukueLeo usingizi umekuja mapema sana mkuu.
Wako ka migambo wa sokoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
WA sokoni mbona wapo smart kuwazidi hao mabwege
........
Na kwako pia brother.Usiku mwema wakuuu
MzimaNa kwako pia brother.
Ulale unono
Mie mzima,nasinzia tu hapa.Mzima
DuuuKatupia mbili
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
PoaHuwa naweka za vitu dadake na ntabadili sooon, thanx
Pole umekunywa sana uji tatizo.weekend yote hii unalala sahizi??Mie mzima,nasinzia tu hapa.
[emoji42] [emoji42] [emoji42]
Halafu hawajui kutupia pamba kijanja![]()
PICHA YA SIKU:
waziri wa kilimo na umwagiliaji wa Sudan Kusini Julia akiteta jambo na mlinzi wake
Bora tungewanyima uanachama EAC wachafu km ng'ombe bhana
............