Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wa kimataifa
Dadake penda weweMbona tuko juu mpaka sasa? Sema tujitahidi kuhakikisha wale wote![]()
wanatoka tunabaki wenyewe
Asante sanaPole bibie
Swalama kabisa mkuu.poa aje bablai?
Asante.Jimena pole sana, ndivyo mpira ulivyo
Pole sana mkuu.Nilikumiss hadi mafua
Kijana mzima??Swalama kabisa mkuu.
Weekend imefika tena.
Lake Manyara hiyoooNatural
Asante sanaPole sana mkuu.
Leo mambo yamekuwa mengi kidogo.
Hivi ina mashabiki bongo??Czech ilikuwa zamani ya Akina Nedved, hii ya siku hizi inagawa pointi tu
Ni kweli kuna time ilikuwa inazingua kwangu but now imekaaa poa.App inasumbua inagoma....
.........

yaap mkuu...ngoja tuone viwanja vya kujichanganya...Swalama kabisa mkuu.
Weekend imefika tena.
Salamu na kwako piaMkuu nakusalimu
Mie niko poa kabisa mkuu.Kijana mzima??
Shem mambo yakoje darlingLake Manyara hiyooo
kutesa kwa zamuNi kweli kuna time ilikuwa inazingua kwangu but now imekaaa poa.
Zamu yako sasa.![]()
![]()
![]()
Pole sana mkuu.
Leo mambo yamekuwa mengi kidogo.
