Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Nimeitumia Dr.Mimi huwa natumia cetirizine*
Nimeitumia Dr.Mimi huwa natumia cetirizine*
haina noma majukumu ni muhimu zaidi!!Sana nilijaribu kuingia mara kadhaa ila sikuweza kudumu,
Majukumu yalinizidia sana
Tupo mbonaHivi ina mashabiki bongo??
arooo...aroooMimi ni police Mkuu.
![]()
![]()
![]()
![]()
.
Najua hilo wewe ni Tp, ulinipa ushauri wa dawa ndo nkakuita Dr.Mimi ni police Mkuu.
![]()
![]()
![]()
![]()
.
Mkizingua nakamata wote humu napeleka central police.arooo...arooo
Mkuu mbona unatetemeka sasa?Najua hilo wewe ni Tp, ulinipa ushauri wa dawa ndo nkakuita Dr.
..... ila maumivu yakizidi muone daktari.Najua hilo wewe ni Tp, ulinipa ushauri wa dawa ndo nkakuita Dr.
tusamehe afande, sisi hatuvuti bangiMkizingua nakamata wote humu napeleka central police.
hakika..... ila maumivu yakizidi muone daktari.
Baridi tu mkuu, japo linamo anajitahidi kwa Tea masalaMkuu mbona unatetemeka sasa?
Aroo arooo, nimesikia Rais wenu anauza sembe.tusamehe afande, sisi hatuvuti bangi
alaa kumbe yuko vizuriBaridi tu mkuu, japo linamo anajitahidi kwa Tea masala
Mafua sio ugonjwa bali usafi waendelea..... ila maumivu yakizidi muone daktari.
hahaha...intelijensia yako imekudanganya...overAroo arooo, nimesikia Rais wenu anauza sembe.
wanasema ugonjwa wa mapenzi huoMafua sio ugonjwa bali usafi waendelea
Anaogopa PTMkuu mbona unatetemeka sasa?
hahaha ndio hivyo anaogopa doka aka londo aka difendaAnaogopa PT
Aisee.Mafua sio ugonjwa bali usafi waendelea
