Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 17, 2016 #54,441 Mmemuona huyu jatibujaribu ........
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,442 Jimena said: Kinyaaa sana Click to expand... Ila watu wana roho ngumu saana dah
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 17, 2016 #54,443 Linamo said: Ha ha ungejaribu ndo ungekuwa mchezo wako Click to expand... Mi sina ujanja wa kijinga Too much is harmful ...........
Linamo said: Ha ha ungejaribu ndo ungekuwa mchezo wako Click to expand... Mi sina ujanja wa kijinga Too much is harmful ...........
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,444 jambilo said: Ufundi wote alimalizia kwako, cjui uliumbwa asubuhi honey!!! Click to expand... Naona unaanza kuelewa somo sasa
jambilo said: Ufundi wote alimalizia kwako, cjui uliumbwa asubuhi honey!!! Click to expand... Naona unaanza kuelewa somo sasa
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,445 briz said: Hivi kuna watu bado wanalipa ng'ombe 30 kwa ajili tu ya rangi? Click to expand... Wako kule usukumani
briz said: Hivi kuna watu bado wanalipa ng'ombe 30 kwa ajili tu ya rangi? Click to expand... Wako kule usukumani
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 17, 2016 #54,446 jambilo said: Jamani upasta nilishaacha, napiga zangu dili za dubai, na japani hasa pale Tokyo n'a mji wa kumamoto. Sale wa magari nipeni oda zenyuu Click to expand...
jambilo said: Jamani upasta nilishaacha, napiga zangu dili za dubai, na japani hasa pale Tokyo n'a mji wa kumamoto. Sale wa magari nipeni oda zenyuu Click to expand...
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,447 Linamo said: Cc:Sumbai Click to expand... Yes....mpendwa nimesikia unaumwa amani kwqngu imepotea
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,448 jonax said: nakusalimia kijana. Click to expand... Mi mzima kabisa chief, mi nlidhani mipekeangu ndo namtilia shaka yule jamaa ka ni mchele mchele
jonax said: nakusalimia kijana. Click to expand... Mi mzima kabisa chief, mi nlidhani mipekeangu ndo namtilia shaka yule jamaa ka ni mchele mchele
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,449 Bitoz said: Mi sina ujanja wa kijinga Too much is harmful ........... Click to expand... Kama huridhiki na kidogo hata kikubwa huwezi ridhika nacho. Wadada wa mjini wanajifariji wakitoa ndogo mwanaume hamuachi na atahongwa Sana. Non sense.
Bitoz said: Mi sina ujanja wa kijinga Too much is harmful ........... Click to expand... Kama huridhiki na kidogo hata kikubwa huwezi ridhika nacho. Wadada wa mjini wanajifariji wakitoa ndogo mwanaume hamuachi na atahongwa Sana. Non sense.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,450 Linamo said: Na jua la alfajiri. Unang'ombe wa kutosha?? Click to expand... Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia
Linamo said: Na jua la alfajiri. Unang'ombe wa kutosha?? Click to expand... Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,451 Linamo said: Mie nipo wewe ndo umeadimika Click to expand... Nipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuu
Linamo said: Mie nipo wewe ndo umeadimika Click to expand... Nipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuu
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,452 jambilo said: View attachment 357273View attachment 357274 Click to expand... Punguza uongo. Sidanganyiki ng'o
jambilo said: View attachment 357273View attachment 357274 Click to expand... Punguza uongo. Sidanganyiki ng'o
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,453 sumbai said: Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia Click to expand... Hata rays haongi
sumbai said: Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia Click to expand... Hata rays haongi
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,454 briz said: Nipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuu Click to expand... Pamoja kakake
briz said: Nipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuu Click to expand... Pamoja kakake
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 17, 2016 #54,455 Linamo said: Punguza uongo. Sidanganyiki ng'o Click to expand... Hili ni tangazo la biashara mpenzi wanguu
Linamo said: Punguza uongo. Sidanganyiki ng'o Click to expand... Hili ni tangazo la biashara mpenzi wanguu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 17, 2016 #54,456 Linamo said: Wako kule usukumani Click to expand... kama ni upande ule sawa mana huwa wanachelewa sana kuendana na hii kasi ya mwendo kasi
Linamo said: Wako kule usukumani Click to expand... kama ni upande ule sawa mana huwa wanachelewa sana kuendana na hii kasi ya mwendo kasi
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 17, 2016 #54,457 jambilo said: Hili ni tangazo la biashara mpenzi wanguu Click to expand... Kwani hili jukwaa matangazo
jambilo said: Hili ni tangazo la biashara mpenzi wanguu Click to expand... Kwani hili jukwaa matangazo
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,458 Bitoz said: Mtanga mwana ............. Click to expand... Dah hao watanga Hiyo kitu kawaida saana....kuna Jamaa yangu alikuaa na Toto Shombe Shombe one day akamuuliza hivi huku kwengine unataka nan apasugue??? Jamaa alikimbia balaaa
Bitoz said: Mtanga mwana ............. Click to expand... Dah hao watanga Hiyo kitu kawaida saana....kuna Jamaa yangu alikuaa na Toto Shombe Shombe one day akamuuliza hivi huku kwengine unataka nan apasugue??? Jamaa alikimbia balaaa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jun 17, 2016 #54,459 sumbai said: Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia Click to expand... Kwa hilo ni uongo hata mkeo anajua bado nafadhili hadi Ndg saké, wengine bado wanaosha magari kwa yard yangu
sumbai said: Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia Click to expand... Kwa hilo ni uongo hata mkeo anajua bado nafadhili hadi Ndg saké, wengine bado wanaosha magari kwa yard yangu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 17, 2016 #54,460 jambilo said: Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambia Click to expand... Una ranch au lunch??? Nahis umekosea kutyp....
jambilo said: Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambia Click to expand... Una ranch au lunch??? Nahis umekosea kutyp....