Makapuku Forum

Kuna wale wengine ujanja ukizidi wanakuwa mashoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atajiju
Ujanja ukizidi ni ujinga
Yachezee maisha yako ...upauke hadi matako
Y.O.L.O
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Kuna
Atajiju
Ujanja ukizidi ni ujinga
Yachezee maisha yako ...upauke hadi matako
Y.O.L.O
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Cuzoo na mimi nashangaa maana sielewi elewi hii couple imeanza lini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipi anafaa kuwa shemeji yako??
Jimena tetea kakako upwekeee jamni
Hii binti ya ufipa unamalisa mimi kwa mapenzi kwake[emoji173] [emoji179] [emoji180] [emoji178] [emoji259] [emoji132] [emoji131] [emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji179] [emoji180] [emoji131] [emoji178] [emoji173] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
 
Fuata mkumbo upasuke utumbo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Kweli hapo atalaumiwa mtumiaji lakini kwa upande mwingine wauzaji ni tatizo tusiseme tu kwa nini atumie tujiulize Kama wasingeuingiza nchini wangeutumia? Hata Kama kungekuwa na mateja lakini si kwa kiwango ambacho kiko sasa. Mbaya zaidi hawa ma drug delears ni watu wenye nyadhifa kubwa.
 
Kabisa mkuu. Najaribu kuimagine mama yake anajisikiaje? Hakika wazazi tunaumia Sana.[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sasa nashindwa kuelewa huyu amekaa sober zaidi ya miezi sita bado hajaacha..
Je yule wa kiume(Chid) aliyekaa sober siku 28 atawezaje kuacha au ndo maigizo??..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sasa nashindwa kuelewa huyu amekaa sober zaidi ya miezi sita bado hajaacha..
Je yule wa kiume(Chid) aliyekaa sober siku 28 atawezaje kuacha au ndo maigizo??..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Chidi yuko kwenye uangalizi mzuri Sana ray c baada ya kutoka sober house alikuwa na Uhuru Sana.halafu chidi hakuathirika Kama ray c.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…