Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahahaaSana tu,
Hicho kipengele ulichochagua nacho ni shidaa
Hatareee
HahahahaaSana tu,
Hicho kipengele ulichochagua nacho ni shidaa
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Mmeshindaje humu??
Asante mkuu nmekusomaAsante kaka. Majukumu yalibana nikawa niko kimya ingawa kuna member wengine huwa tunawasiliana nje ya Makapuku thus niliendelea kupiga nao stori. Kesho uni PM.
Nawe pia, hutaki kuona TCRA wanavyoumiza watuUsiku mwema kwa wote.
RIEP Mr BabuIla kashakufa
RIP
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja tuisubiri saa 6 kama tunasubiri mwaka mpya
Achana na linamo, mmeo hajatulia haishi kumtongozaNaona sumbai hawakauki midomoni.. Mna nini na bae wangu?
Unapewaga viwili tu ck hizi[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mbili bila
HahahaAmen, naomba tcra wasizime cm yako
Hapana. Nitachelewa kuamka ikanifanya nikachelewa kazini.Nawe pia, hutaki kuona TCRA wanavyoumiza watu
Basi sawaaaUsiwe mnene ile hadi kitambi lakin lazma uwe na paundi za kutosha ila kidogo kujitofautsha na teenager ambaye mko kimo kimoja
HaaaaNyie wabaya yani nimetupia 54k lakini mnajifanya kama hamkuona vile
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hongera![]()
Nishaanza kujenga
Nyie mnasubiri nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Hapana. Nitachelewa kuamka ikanifanya nikachelewa kazini.
YesUnatakamo!!
KaribuOneday yes braza.
JmnG9t all....