Makapuku Forum

Dah hela nliyo nayo ni kama laki 1.5. Ndo nawaza niitumieje kabla mwezi haujaisha nkadaiwa kodi ya chumba
Well, nashauri hiyo pesa jaribu kuangalia biashara inayoendana na soko hasa kwa kipindi hiki tulichopo utaweza kusave faida utakayokuwa unaipata maana nikikuambia kufanya biashara flani nitakudanganya coz mazingira tunayoishi mimi na wewe yanatofautiana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…