Tuko pamoja kaka. Nimekukumbuka sana.Poa sana, nafurah kukuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kijacho ni wangu, kumbuka wakati unaondoka hukuona co zko
Hahahaaa....Siku zangu? Nyingine ni za nani?
Inatakiwa ufanye mapema braza.Mkuu mimi ntaopoa kitu kikali balaaa
Mwambie huyo...Ndg. Unajifahamu kuwa madamu hukuachaga ndani ya miezi 2, kwa ajili ya kibamia, punguza maneno kwani utaaibika sooon
Unavizia eeeh....??Kaa mbaaali kijana
Ni njema kaka. Habari ya wewe vipi?Salama sana ndugu yangu za masiku tele?
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Unavizia eeeh....??
Palepale pa jana mkuuuNdo nataka kufungasha hapa safari ianze mkuu...Pande zipi leo?
Nami pia mkuuTuko pamoja kaka. Nimekukumbuka sana.
Wakati ni huuInatakiwa ufanye mapema braza.
Ndo maanake braza.Wakati ni huu