sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Sio mitumba yote inathamani ni wewe tuNdo maana nikakwambia mapema shem, au usubiri atakayeachika humu udake mtumba
Kwan unadhan pesa ndo kilakitu???? Ha hahaha kumbe ndio maaana hakutakNyie kwenu hamridhiki na pesa zangu mmezila sana
Ongeza zingine my lovely X... Pesa hazijawahipo kutosha etiNyie kwenu hamridhiki na pesa zangu mmezila sana
Nina huruma sana, ni wewe tu hujaionaHivi hata huruma huna
Lakini unajua kulilia muhogo balaaaYes, umemfungulia njia yeye anatelezea ganda la ndizi mbivu mlimani
Siku zangu? Nyingine ni za nani?Wewe kijacho ni wangu, kumbuka wakati unaondoka hukuona co zko
Ahaaa... Kumbeee... Nimekuelewa vizuri.Kifaransa hicho means Black widow
I love you mooochNimemuona
Mamake katokea hukoTatizo lako mbahili Sana Kama unatoka kule milimani bhana![]()
![]()
![]()
Mkuu mimi ntaopoa kitu kikali balaaa
Mimba ni yangu, Ingekuwa yako ungeibeba wewe etiKumbe unatambua ni mimba yangu
Naona unamendeaa mendeaaa....hapo kwa limaoI love you moooch
Ndio maana nakupenda, umebaki faraja yangu humuYani wanakuandama Sana kakaake achana nao hao