makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,513
We muangalie tu, uongeze siku za kuishi.. Anakera mpaka anachekeshaHahahahaa
Hatarii sasa hiyo, nadhan kesho nita fuatilia leo nlikuwa njian mpaja saa tano kasoro nkapotezea
We muangalie tu, uongeze siku za kuishi.. Anakera mpaka anachekeshaHahahahaa
Hatarii sasa hiyo, nadhan kesho nita fuatilia leo nlikuwa njian mpaja saa tano kasoro nkapotezea
kakaaaa!! mchepuko tena?Ha hahahhaha ulikja kuchek mchepuko
Morning my dadaMorning all
Umeamkaje my kaka?Morning my dada
Niko poa sana na nimeanza majukumu ya siku. Uko poaUmeamkaje my kaka?
Niko poa kakaake. Nami niko njiani naelekea kwenye majukumu ya kuijenga nchi ya Magu.Niko poa sana na nimeanza majukumu ya siku. Uko poa
Niko poa kakaake. Nami niko njiani naelekea kwenye majukumu ya kuijenga nchi ya Magu.

Ndi ndi ndi![]()
............................
USIKU MWEMA
.................................