sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Nzuuuuuri sana Kiongoz.....maisha vip![]()
Always love your mother, you'll never get another!....
Habari ya jioni wakuu
Nzuuuuuri sana Kiongoz.....maisha vip![]()
Always love your mother, you'll never get another!....
Habari ya jioni wakuu
Good and wiseNot good but wise woman
Mishe poa kabisa mkuu.Nzuuuuuri sana Kiongoz.....maisha vip
Hawachungiki hao..ndio maana hataki..![]()
![]()
Mchungaji wa nzi.
Kwann bossSwalama kabisa!
Swaum ya leo ni balaa.
Huku Mwanza jua bado....Mishe poa kabisa mkuu.
Karibu ftari.
Ameen.....sisi wazima....mnatunyima Nini pande hizoLadies and Gentlemen nawasalimu katika jina za alieziumba Mbingu na Nchi.
Oooh hayeluyaaah.....Haleluyaaa
Basi wewe endelea kusubiri.Huku Mwanza jua bado....
Ndiyo mkuu.![]()
![]()
ulifunga mkuu?
Gado ndio Nini mkuu???Ahsante mkuu, vipi upo Gado?
Dah....ngoja nifuturu labda naweza kuelewa.....je bint under 18 ana mtoto na anajielewa yupo kundi ganiHapana msicha ni binti under 18 though unaweza kuwa above 18 ila unamambo ya kitoto yaani hujakua kiakili
Mwanamke ni above 18 anaweza kuwa Mama or not
Asa mimi ni mwanamke na ni Mama pia
Upo hapo?????
Ataitwa msichanamama.Dah....ngoja nifuturu labda naweza kuelewa.....je bint under 18 ana mtoto na anajielewa yupo kundi gani
Huyo mwanamkeDah....ngoja nifuturu labda naweza kuelewa.....je bint under 18 ana mtoto na anajielewa yupo kundi gani
Ha hahahhaha ulikja kuchek mchepukoShiiii... Ningejua singekuambia...![]()
![]()
AmenOooh hayeluyaaah.....