sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Asante Payet Asante Grizman.....giroud mjinga alikwenda kutaliiii uwanjan![]()
France![]()
:
Albania
...........
Asante Payet Asante Grizman.....giroud mjinga alikwenda kutaliiii uwanjan![]()
France![]()
:
Albania
...........
I knew, The words could have come from the right person (you)Hongera sana kwa ubunifu,
Hiyo ni moja kati ya vitu vinavyofanya nakukubali
Kifupi una swaga...... Big up!
Nipo ila kama sipo

Thanks nawe piaUsiku mwema kwenu wote
Asante Payet Asante Grizman.....giroud mjinga alikwenda kutaliiii uwanjan
Hahaha huwa tunakumbushiagaMzima kabisaa Leo amenikeep bize kuchat watsup...
Ila mkuu sema mke wako Wa zaman....sio mke wetu
OhoooooAsante Payet Asante Grizman.....giroud mjinga alikwenda kutaliiii uwanjan

Uwe unajikumbushia kimya kimyaa.....Hahaha huwa tunakumbushiaga
Mkuu swalama???Ohooooo
Tenaa![]()
![]()
![]()
Kazingua saaana......![]()
Miss Olivia Giroud
..............
Kama grizman bwanaaa olivia kazingua na martialSwalamaaaaa
Fureshi kama girou
HahahaaKama grizman bwanaaa olivia kazingua na martial
Ila giroud ni too much..Hahahaa
Ndo mpira huo kuna siku una kataa
Kuna wale walio thubutu kusema pengine mpira hauna adabu(in Kitenge's voice)
HahahahaIla giroud ni too much..
Giroud ana haja ya kumchek basi.. Huyo kama baadhi ya wanafunzi darasan ticha akifika na kukuta fujo anakurasha mikwaju tu, hata kama haukuwemo.. Ndio handsome boy wetu giroud..Hahahaha
Sja chek mechi leo ndo maana nashndwa ku mjaji
HahahahaaGiroud ana haja ya kumchek basi.. Huyo kama baadhi ya wanafunzi darasan ticha akifika na kukuta fujo anakurasha mikwaju tu, hata kama haukuwemo.. Ndio handsome boy wetu giroud..
Giroud ana haja ya kumchek basi.. Huyo kama baadhi ya wanafunzi darasan ticha akifika na kukuta fujo anakurasha mikwaju tu, hata kama haukuwemo.. Ndio handsome boy wetu giroud..