Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nafikiri wanawake kuna wasichana na wamama.
Labda tuseme wewe ni mama si msichana.
Sijui nimekosea Kiswahili kimenipiga chenga
Hapana msicha ni binti under 18 though unaweza kuwa above 18 ila unamambo ya kitoto yaani hujakua kiakili

Mwanamke ni above 18 anaweza kuwa Mama or not

Asa mimi ni mwanamke na ni Mama pia

Upo hapo?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom