Emyguy bado ni active bali kabanwa na majukumu, atakujaYeah kipindi mimi nasajikiwa Nahrene ndo alikuwa anaondoka na nlimkuta youngblood ana lia lia apa ndo tukawa tuna mfariji hapa na jamaa mmoja aitwa emmyguy sjui aliendaga wap naye
Sumbai mzima mkuu?Goaalll LA pili.....
We miss kompany
Za asubuhi dadakeSafi kabisa
Tupo mkuuWakuu leo mko wapi!
HabariTupo mkuu
Tupo.. Mzima my kaka?Wakuu leo mko wapi!
Amen PastorHabari za leo wapendwa, nawatakia siku njema na ya baraka, kila ulifanyalo leo lifanikiwa, amen

Nzuri kabisa,za kuamkaHabari
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder
Mussolin5
xavia jr
Amenn
punje haradari
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Habari
Tupo hapa hapa...Wakuu leo mko wapi!