Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Nimeipenda avatar yako
Nimeipenda avatar yako
Nami nasali nilaleWengine wamelala bila kusali
Yeah kipindi mimi nasajikiwa Nahrene ndo alikuwa anaondoka na nlimkuta youngblood ana lia lia apa ndo tukawa tuna mfariji hapa na jamaa mmoja aitwa emmyguy sjui aliendaga wap nayeLeo walikuwepo member wengi hadi waliopotea kabla hujaja huku somebody nahrene
PoleHahahaaa
Vurugu za Marseille nlikamatwa
Safi kabisaNa jana bhana tulishinda maisha saf
Aisee hapo ulitisha mbayaaaHahahaa
Duniaa tuu
Ila uko nlikokuwa kila tym yaan nakutaja, ad watu wakaanza kushangaa
WeraaaaaaGooooooooaaaaaaal
Chezea Italy
........
AahGoaalll LA pili.....
We miss kompany
Leo tupo pamojaWacha wayaone wenyewee