Unataka kiki???Makapuku habarini? naona kama mmepoa vile sijui ni swaumu imekazaa!!?
Mpe ya baridi...Unataka kiki???
Unataka kiki???
Haina shida ntaoa mwingine wewe wajua nina access ya warembo balaa, na patience123 lazima tukumbushie ujue tuna mtoto, ck ukimletea noma atajileta mwenyeweYan.....dah nashukuru kwa kufanya uamuzi sahihi....
Now ni raha tuu na mtoto patience
Mkuu pesa yeye alikuwa mtunza hazina, pesa kwangu si tatizo bali tatizo namna ya kuzitumiaHatoi hela![]()
![]()
, bahili
Nawe ni hodari wa mayowe, unakumbuka siku ile ulipiga kelele hadi mgeni chumba cha pili akatugongea akijua tumevamiwa??Kwenye hilo sikusahau kamwe.....
Ila sumbai humfikii.....
Karibu sana.Asante mpenzi 😀
Mfupa uliomshinda fisi mbwa atauwezea wapi?Yan.....dah nashukuru kwa kufanya uamuzi sahihi....
Now ni raha tuu na mtoto patience
Uko nchi gani,naona huko Kuna ndoto nzuri sanaengland bingwa msimu huu
Teh teh teh teh teh mtumishi wewe nakugawa bure kabisaaaaa..Nawe ni hodari wa mayowe, unakumbuka siku ile ulipiga kelele hadi mgeni chumba cha pili akatugongea akijua tumevamiwa??
Makapuku tupo gadoMakapuku habarini? naona kama mmepoa vile sijui ni swaumu imekazaa!!?
Endeleeni kuotaUko nchi gani,naona huko Kuna ndoto nzuri sana
Haina shida ntaoa mwingine wewe wajua nina access ya warembo balaa, na patience123 lazima tukumbushie ujue tuna mtoto, ck ukimletea noma atajileta mwenyewe
Mkuu pesa yeye alikuwa mtunza hazina, pesa kwangu si tatizo bali tatizo namna ya kuzitumia
We kuwa mpole mkuu....Nawe ni hodari wa mayowe, unakumbuka siku ile ulipiga kelele hadi mgeni chumba cha pili akatugongea akijua tumevamiwa??
Mmepata ukumbiKaribu sana.
Ha hahah wacha mbwa wwnye meno tuleee nasikia ulikuwa bahili saana....Mfupa uliomshinda fisi mbwa atauwezea wapi?