Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Swali gumu kidogo mdau linahitaji data kamiliAtletico, R, Madrid,Barcelona, arsenal, man city+United,Juve,Bayern ni ipi yenye wachezaji wengi kwenye timu zinazoshiriki France euro
..........
Swali gumu kidogo mdau linahitaji data kamiliAtletico, R, Madrid,Barcelona, arsenal, man city+United,Juve,Bayern ni ipi yenye wachezaji wengi kwenye timu zinazoshiriki France euro
Anaitwa nan![]()
Huyu mkongwe anawashwa
Mara ya kibao ananifuatafuata
NimeREPORT tu simpi kick
..........
Nazi haikuwa kwenye makubalianoKwema
Unibebe furushi LA karanga,nyanyachungu, na Nazi
Hujujibu swali.....Washalifuta tusi
.........
Ooooh samahani kwa lugha kali, kaniudhi mtalaka[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Asante kwa niaba yakeOh dah naona mambo ni mazuri.
Hongera kwa manuu
Wii[emoji8] [emoji8] [emoji8]Asante kwa niaba yake
Umeshafuturu??Oh dah naona mambo ni mazuri.
Hongera kwa manuu
Kumtaja ni KUMPA KICK TUHujujibu swali.....
Njoo karibuHabari za hapa
NyongezaNazi haikuwa kwenye makubaliano
NishakaribiaNjoo karibu
Anza kuuza kick usitoe bure[emoji23] [emoji23]Kumtaja ni KUMPA KICK TU
Ndo anachotafuta so simtaji
..........
Mamy uko poa???Wii[emoji8] [emoji8] [emoji8]