Italy hachomok nakuapiaKwa leo akifungwa yeyote poa tu wote wangu hawa belgium vs italy
Kuna upande umezidi mwenzie,haiwezekani vyote viwe100%Kwa leo akifungwa yeyote poa tu wote wangu hawa belgium vs italy
SWALI halieleweki...nijibu nn sasa?
Ngazi ya club![]()
.....
Mungu amesikia kilio changu

Ungeuliza ni LIGI YA NCHI GANI INAONGOZA KWA KUWA NA WACHEZAJI WENGI EURO 2016 ?Ngazi ya club
Hata club lazima itakuwepoUngeuliza ni LIGI YA NCHI GANI INAONGOZA KWA KUWA NA WACHEZAJI WENGI EURO 2016 ?
Jibu ni EPL ya ENGLAND
...........
KwemaJamani leo nakuja mjini mnipokee...nashukia Manzese midizini! Shkamooni!