sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Yan.....dah nashukuru kwa kufanya uamuzi sahihi....Naona unavaa mtumba wangu
Now ni raha tuu na mtoto patience
Yan.....dah nashukuru kwa kufanya uamuzi sahihi....Naona unavaa mtumba wangu
GoodNimeshapata lunch
Au amekua na mkono wa birika huduma hafifu??Hajui kukea
Ha hajahaha....mkono Wa birika manake nnAu amekua na mkono wa birika huduma hafifu??
Hatoi hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] , bahiliHa hajahaha....mkono Wa birika manake nn
hahaha......nimefika kwa muda tu, hata hivyo nilichokifuata nimekikosaPoa kabisa, uliadimika sukari inangoja... ni heri lakin huko mafichoni??
Duh! really? Au ni absence ya youngblood??hahaha......nimefika kwa muda tu, hata hivyo nilichokifuata nimekikosa
Kwenye hilo sikusahau kamwe.....Najua hutoweza kunisahau, nakumbuka nilivyokukojoza
HapanaDuh! really? Au ni absence ya youngblood??
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hatoi hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] , bahili
Kamanda Sirro anakuangalia unavyonitisha hapaHauko salama wewe
Hicho kitu kilikua kinapatikana kabla hujaondoka?Hapana
Pacha Wa youngbloodAu amekua na mkono wa birika huduma hafifu??
Hatoi hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] , bahili
😀 kinatakiwa kipatikane leo tuuuHicho kitu kilikua kinapatikana kabla hujaondoka?
Kwema kakaake, mambo?Umepoteaje dadake.. Kwema?
Hahaha jaribu kurahisisha kidogo, kitu chenyewe ni tangible au?😀 kinatakiwa kipatikane leo tuuu
Poa dadake, naona umeamua kubadilishia gia angani [emoji4] [emoji4]Kwema kakaake, mambo?
Hilo sikatai.... Na ukinitongoza tena nitakufikiria kama mchepuko..Sawa lakini ujue hakuna awali mbovu