shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Hebu fikilia alitoa maombi gani juu yakoNatumaini umeniombea.
Hebu fikilia alitoa maombi gani juu yakoNatumaini umeniombea.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]Poa bibie.. Oooops sijui nimepatia jinsia?
Maombi yake usiyaamini sana lakiniNatumaini umeniombea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu ni shiiiiidahahahaha...
WabondeiSiyo wasambaa??[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Uko man siku hizi , Madrid ulihama lini?Mi mwenyewe nakupenda kwangu kote Man United ila timu ya taifa yao hapana
Duh aisee, rombo nao wamejibu mapigo [emoji23] [emoji23]
Nasikia kuna mmoja katapika sana safarini. Alizoea Yutong tu mambo ya [emoji574] [emoji574] kwake mapya
#wa kimataifa
Inawezekana lakini hebu jiulize Mengi angekuwa hohehahe angemkubali??Usikute alichachoka usaliti wa masharo akaamua kutulia na mzazi
Kuna sababu zaidi ya hela inayoweza kupelekea mtu kuolewa na mtu wa age tofauti
Celine Dion ni mfano tosha kuwa sio hela tu
Mhh sasa inabidi hizi avatar watu wawe wanaweka kulingana na jinsia[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]
Ni me
Nilikusubiri mpaka ikabidi nilale tu maana mtu kuchat peke yako yataka moyoWala sikupotea moja kwa moja nilirudi baadae sikukuta kiumbe yeyote humu
Si ameshakuambia Mr?? Au??Ok, ni ipi sasa jinsia yako?
Ni kweli kabisaHawajawahi kuwa na timu nzuri ila wana majina makubwa tu!
Ukifunga, ukifungwa tupia magoriReporter nipo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Nifanikiwe katika maisha yangu.Hebu fikilia alitoa maombi gani juu yako
Ubongo wa Briz utakuwa umeganda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]
Ni me
MeOk, ni ipi sasa jinsia yako?