Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Uwiiii hii itakuwa Kali ya karneSasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela

Uwiiii hii itakuwa Kali ya karneSasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela

Sitimbi pale karibu na peramihoBuku tu,
Panda gari uje hapa sitimbi nitakupa kilo mbili
Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela

Aaah wapiWapende tu![]()
![]()
![]()
Ha haaa kitanda hakizai haramuAweke picha tuhakikishe
Labda wamefanana na mama zao je??

Funga machoAaah wapi
Real MadridUko man siku hizi , Madrid ulihama lini?
Unatuchokoza Wanyaki sio?Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela
Hivi cobblepots hakuibuka jana?Nilikusubiri mpaka ikabidi nilale tu maana mtu kuchat peke yako yataka moyo
Ni shiiiida ila atazoea pole pole![]()
Na pozi lake la matopeni
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Nishamuelewa, nlijua nlijua hyo mr nimetajwa mimiSi ameshakuambia Mr?? Au??
Nishamuelewa, nlijua nlijua hyo mr nimetajwa mimi
inaonekana hujaitwa Mr sikunyingi

Hapo sasa ndo usiusemee moyoInawezekana lakini hebu jiulize Mengi angekuwa hohehahe angemkubali??
Ni shiiiida ila atazoea pole pole