briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Acha hizo wewe wengine zinatupendeza machoni, na anachagua vifaa hasa..Punguza kuweka Avatar za kike fake pastor
Acha hizo wewe wengine zinatupendeza machoni, na anachagua vifaa hasa..Punguza kuweka Avatar za kike fake pastor
Shikamoo.. dada LinamoKwenye wavu![]()
![]()
![]()
Penzi Vs Pesa![]()
Mapenzi ukiyapatia raha sana
Tupo poa kabisaMmeshindaje waungwana?
Marahaba hujambo Briz??Shikamoo.. dada Linamo
Tumeshinda salama vipi wewe??Mmeshindaje waungwana?
Poland wamenifurahisha Sana hao Ireland walikuwa wanakimbiza mwenge tu![]()
Mambo ya EURO
.......

Kivipi?Mkuu unanionea sana.
Avatar ni ya nani???Nilipote ka sk 2 hivi, sio mbaya tukafahamiana...naitwa Pastor JAMBILO avatar ni ya mshirika, cjui mwenzangu!!!!

Very goodwewe je?
Poa bibie.. Oooops sijui nimepatia jinsia?Tupo poa kabisa
Fresh tu dadakeTumeshinda salama vipi wewe??
Raha sanaaaaa![]()
Mapenzi ukiyapatia raha sana
Salama kabisa kakaakeSwaum iliendaje dadake
Sijambo kabisa, za masiku?Marahaba hujambo Briz??
Natumaini umeniombea.Jana nilikuwa tait, leo nilikuwa ibadani dadake, habari