ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Ila huyu Nahrene naye amepotea sana,unajua sometimes mpaka napatwa na wasiwasi,anaweza akawa amepatwa na matatizo..Mmh acha fix
Ila huyu Nahrene naye amepotea sana,unajua sometimes mpaka napatwa na wasiwasi,anaweza akawa amepatwa na matatizo..Mmh acha fix
Uswazi balaa mkuu, maji taka yao yanatoboa mabomba ya chemba maana upate yaliyotoka Tandale ambayo ni mixer Spea za kuku kwa maana ya vichwa miguu na utumbo,dagaa maji chumvi...kama yakihifadhiwa vizuri tunaweza kujipatia gesi yetu mjini na kuvunja uhusiano na watu wa mtwara wanaotusimanga na gesi yao!
Kijana unataka uweje???? Basi aje pia na naziAsante sana mkuu,usisahau karanga mbichi na asali pamoja na nyanya chungu...
Hujalazimishwa
Ubishoo ndo maana mnapata magonjwa ya ovyo na vipumbu kidogo km goroli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Wewe hapo....ndio inapendezaNahrene atanisaidia
Good ,gooder ,GoodestKwa muktadha huo ina maana wenye korodani kubwa kama beberu ni result ya kupiga huu msosi wa maji yetu yale siyo? Gudi gudi...hii ni home work!
Mbata[emoji23][emoji23][emoji23].Kijana unataka uweje???? Basi aje pia na nazi
Huyo Mzee ni mkongwe...mkongwe mkongwe tuu...Kwani huoni??
Umeona eeh..,..Mmh acha fix
Kaolewa[emoji23] [emoji23]Ila huyu Nahrene naye amepotea sana,unajua sometimes mpaka napatwa na wasiwasi,anaweza akawa amepatwa na matatizo..
Bitoz hii wapi??![]()
......
Amletee na goma kabisaKijana unataka uweje???? Basi aje pia na nazi
Hayupo JF kaangalie last seenKaolewa[emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wewe hapo....ndio inapendeza
MmmhHuyo Mzee ni mkongwe...mkongwe mkongwe tuu...
After that![]()
+ mbuzi wa Uswaz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kenya....ni mfano wa Uswahilini kwetuBitoz hii wapi??
Youngblood fata ushauri wa BitozHayupo JF kaangalie last seen
........