Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
[emoji23] kwanini bro?Mungu ametupa mtihani mkubwa sana sisi wanaume.
[emoji23] kwanini bro?Mungu ametupa mtihani mkubwa sana sisi wanaume.
Itakuwa poa sana,tena kama vipi unipeleke mimi kwanza.Kabisa Youngblood atakusindikiza
Mmh ndo maana ukamsafirisha nahrene now nimeanza kuelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sumbai anazingua hajui raha ninazozipata haya maeneo.
Mmmh sumbai upo??Itakuwa poa sana,tena kama vipi unipeleke mimi kwanza.
Oh.....Hapana mkuu,huku raha ni usiku na mchana.
Hahahaha,nakaza swaum mkuu maana ya leo imezidi...[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahhha. Hahhahah umetoka kufanya nn???....yan kwa vile hukujidakulisha Basi ...umekuwa Kobe
Heshima yako Mkuu.Shkamooni..
Brother mbona kama hutaki?Huyu huyu youngblood ??? Au mwengine
Sijambo tu kaka mkubwa naulizia bei ya mkaa mjini huko ikoje?Hujambo kiongozi
Nazifahamu mkuu.....ila sio saanaSumbai anazingua hajui raha ninazozipata haya maeneo.
Sasa si unaona hapo,mtoto ni FUSO baba ni Vitz.[emoji23] kwanini bro?
Baba ana kiba[emoji817]Kabisaa siyo mtoto wake maana si kwa mzigo huo??[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Mbona wako hivyo??![]()
Njooni Mabibo Beach mle PEREGE
.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh ndo maana ukamsafirisha nahrene now nimeanza kuelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikurudie tu ndugu,heshima mnazo ninyi wa mjini huko huku shamba tuna tabia za mbuzi mbuzi tu na wanyama wengine wafugwao...nikija mjini nitakuletea muhogo na matufaa!Heshima yako Mkuu.
Hiki ni zaidi ya kiba[emoji817] hiki ni kipilipili[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Baba ana kiba[emoji817]