sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
I miss kisosora....kula kachoriOk kisosora napajua kwa kupita tu upo sehem gani na jina maarufu kwenu ni nan nifate pm
Mkuu ukirud dar uje na kachori
I miss kisosora....kula kachoriOk kisosora napajua kwa kupita tu upo sehem gani na jina maarufu kwenu ni nan nifate pm
Tupo bwana tunapajua kisosora![]()
![]()
![]()
![]()
Hamna anaenijua kabisa wala usisumbuke
Ufanye hivyo mpendwa. NitakukumbushaNikirud itabidi nipande ile ya kuruka angan ili nkuletee wabich kabisaa
Unanichanganya ujue kwani origin yako ni wapi?I miss kisosora....kula kachori
Mkuu ukirud dar uje na kachori
Kwa maana hiyo Jimena atakuwa mwenyekiti wa vigodoroTupo bwana tunapajua kisosora
Ndio kunaongoza kwa ule mchezo Wa vigodoro.....

Tena atakuwa anafunga kwa ajili ya Youngblood na Sumbai maana wamebadilika sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo atakuwa anafunga na kuomba![]()
![]()
![]()

Poa brother.Goodmorn bro....
Asante kwa ile package
Aisee.Tena atakuwa anafunga kwa ajili ya Youngblood na Sumbai maana wamebadilika sana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu ametupa mtihani mkubwa sana sisi wanaume.aiseeee!
![]()
Ha hahaah nakuapia kazima colonial master wetu waingie hatua inayofata baada ya makundiWale watoto wa malkia jiangalieni sana,Jana mmepoteana kabisa
Usiogope mpendwa Si unajua katika harakati za kutafuta mkate unajikuta unafaham sehem mbalimbaliUnanichanganya ujue kwani origin yako ni wapi?
Mkuu vipi? Half London wanasemaje?Aisee.
Mweeh.....Tena atakuwa anafunga kwa ajili ya Youngblood na Sumbai maana wamebadilika sana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Hahaha......Ba 100aiseeee!
![]()
Ufanye uje upajue na kwetuUsiogope mpendwa Si unajua katika harakati za kutafuta mkate unajikuta unafaham sehem mbalimbali
Mtihani gani?? Si imelala hapo ngoja isimame Dede kijana atastaajabuAisee.
Mungu ametupa mtihani mkubwa sana sisi wanaume.