Makapuku Forum

Mimi huwa na Like kila mtu kasoro tusi na kitwanga. Otherwise sina kisasi hakisaidii chochote, nafikiri tulitendee kazi lile Neno la prezdaa losemalo (one love)
Otherwise tunajidanganya pakiwa na like za makundi huku tuna nia ya kuupaisha uzi huu hadi basi...tubadilike tu
 
Tusizunguke kama watoto. Taja mtu anaelike kwangu kisha mi simpi
Ili tumalize Mzizi wa fitina
Bado mnahangikia likes wakuu??? Dah haya bwana
 
Punguza uongo ww......mbahili wa likes danganya wasiokujua TU

.........
 
Aisee.
Ngoja tusiongee mengi ila nadhani tumeelewana.
Mi sipendi kuzunguka ndomana nimekuwa wazi na ningefurahi kama ungefanya nilivyokuomba ila pia sio kesi

Hiyo ndo fomula langu kwahiyo naomba uielewe hivyo.

Ungekuwa smart zaidi ukajiuliza kuwa mbona wengine nawapa labda ungepata majibu, na kama ujumbe huu pia uliufikisha kwa niaba ya mtu fulani hope amepata majibu ya kuridhisha.
Naomba nikutakie week end njema tu maana kwenye hili sina la ziada.
Peace and love
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…