Makapuku Forum

Ha hahahah....hao Haata hawajasoma maandiko ya walawi kwenye biblia...
 
ACHENI KUWAPA KICK WAPUUZI
WAPOTEZEE KIZUNGU KWA KUPIGA KIMYA..... Chukua mfano unaenda sehemu unatukana kundi la watu kwa sauti lkn hawakujibu si utaumia moyoni ? coz utaona HAWANA HABARI NA WEWE

Km wanatukana REPORT TU sparm


..................................................
USIWAPE KICK WAPUUZI
Ignore them

.... ......................................................
 
Kumpotezea ndio ila huyu Jamaa rafiki yangu naona anazidi kujisahau...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…