Makapuku Forum

Mkuu wacha kabisa hali si hali mjini tunalazimshwa kukimbia penda tusipende .
Jana nilianzisha uzi usemao magufuli shikamoo, kuna copy yake humu kapuku wakauunga na uzi mwingine but nilijaribu kuonyesha hali halisi jinsi watu wamepigika mijini, mabank hakuna watu, watu wamepaki magari nk
 
Mkuu sikufanikiwa kuona nadhani sijaingia JF na siku kadhaa ila kweli hali ni tete mno..Nilienda Bar moja ambayo kipindi cha nyuma ilikuwa lazima ufanye booking ya sehemu ya kukaa ila juzi nilienda tukajikuta tuko wenyewe kama tulivyoenda ikabidi tuudumiwe na wahudumu wote maana wanasema kweli sasa ile maana ya mteja mfalme wameiona..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…