ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Mbona wanitisha tenaMmh hizi taarifa mbona sina??
Sasa kama taarifa huna mimi leo futari nitakula wapi!
Mbona wanitisha tenaMmh hizi taarifa mbona sina??
Mwambie Bitoz atoeHahaha
Ujue alo ueka mwanzo ni bitoz
Sasa Sumbai aka kopi tuu na kupaste
Nipo but very busy shemUlipotea shem
Okay shem, karibuNipo but very busy shem
UpoKwani mbona sina taarifa
Nipo. Kuna nin shemPastor amekuja
Hamna kitu, alikuwa anakuulizia maana ulipotea sana.Nipo. Kuna nin shem
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hamna kitu, alikuwa anakuulizia maana ulipotea sana.
Poa mkuu JambiloMukuu were mambo!
Utaenda kula kwa nahreneMbona wanitisha tena
Sasa kama taarifa huna mimi leo futari nitakula wapi!
Mimi nimekumiss zaidi pastorNimewamiss humu
Nipo my pastor niende wapi. Nilikuulizia hapa muda flani Lizzy akaniambia ulienda Israel vipi tupe yaliyojiri huko.
Nahrene nitampata wapi mie[emoji31] [emoji31] [emoji31] wakati amenitelekeza.Utaenda kula kwa nahrene
Nimemuona kajaHamna kitu, alikuwa anakuulizia maana ulipotea sana.
Okay!Nimemuona kaja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo hujui kuhonga ona sasa emmyguy amemchukua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahrene nitampata wapi mie[emoji31] [emoji31] [emoji31] wakati amenitelekeza.
Binadamu wabaya sana[emoji23][emoji23].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo hujui kuhonga ona sasa emmyguy amemchukua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushauri jifunze kuhonga[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Binadamu wabaya sana[emoji23][emoji23].
Yani badala ya kunishauri unanicheka!!